Huduma za OPD na EMD sasa zinapatikana katika jengo jipya

Posted on: September 30th, 2022

Huduma za OPD na EMD sasa zinapatikana katika jengo jipya, karibuni nyote kwa huduma bora zilizoboreshwa.