All Clinics
wagonjwa wa macho hupata huduma za kuima magonjwa mbalimbali ya machwa na kupatiwa huduma kama za miwani na matibabu mengineyo
Huduma za matibabu ya Ngozi
Akina mama na akina baba wanapata huduma za uzazi
wagonjwahupatiwa huduma za kupima magonjwa ya ndani kama kisukari, na shinikizo la damu pia huduma za afya ya akili
huduma zinazopatikanani za upasuaji wa magonjwa ya ndani pamoja na upasuaji wa mfupa
KLINIKI ZA HARAKA ZA KIBINGWA (FAST TRACK), ZINATOLEWA HOSPITALINI.