Huduma ya Mkoba(OUTREACH).
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Morogoro,imepanga kufanya huduma ya mkoba(OUTREACH) katika Hospitali ya Wilaya ya Mvomero kuanzia Tarehe 19 hadi 21 Julai,2023.Muda saa 2 hadi 10 jioni. Nyote mnakaribishwa.
Huduma za kibingwa zitakazotolewa.
1.Magonjwa yanayohitaji upasuaji.
2.Magonjwa ya afya ya uzazi.
3.Magonjwa ya ndani.
4.Magonjwa ya watoto.
5.Huduma ya masikio,pua na koo.
6.Huduma ya lishe.
7.Huduma ya macho.