Huduma ya CT-SCAN sasa inapatikana
Posted on: September 30th, 2022
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Morogoro inapenda kuwatangazia sasa inatoa huduma mpya ya CT-SCAN, karibuni nyote tuko tayari kuwahudumia.