WAGONJWA ZAIDI YA 3000 WAHUDUMIWA KWA SIKU TANO, KAMBI YA MADAKTARI BINGWA WA SAMIA

Posted on: June 25th, 2024

Wagonjwa zaidi ya 3000 wamepatiwa matibabu kupitia kambi ya madaktari bingwa na ubingwa bobezi wa Rais samia katika kanda ya kati.

huduma hizo zilizodumu kwa siku tano kuanzia mei 6 hadi 10, 2024. katikia Hospitali ya Rufaa ya mkoa morogoro

ikihusisha mikoa ya Dodoma, Singida, Pwani, Iringa na mwenyeji Morogoro.

ambapo wananchi waliweza kujitokeza kwa wingi na kupima afya zao kutoka kwa madaktari bingwa hao.